If u can pay attention to detail and atleast have middle levelecompetecy in working with computer You should be able to work it out yurself
Hata hivyo maelezo ya hayajitoshelezi kukupaa lternatives nyingi. Haijulikani hiyo Mashine ilikuwa na
OS gani(XP, Vista 7)
Version gani( Home, Professional) na ni model gani ya brand gani ya computer.
But unaweza kusomahii artilcle ya microsoft.
How to recover from corrupted registry
Unaweza kusoma na hapa kwenye hi
forum
Kama una net unaweza kupakua windows XP cd inayendana na OS uliyokuwa nayo kwenye torrent mtandaoni
Kama ni
XP proffesional pakua hii
Kama ni nyingine tafuta kwenye hiyo site burn CD tumia CD kurepair. Kama mashie yako inaruhusu kuboot na USB utakuwa na option nyingi zaidi
Otherwise tafuta internet cafe ya karibu wape mafundi mshiko wakurekebishie