msaada: kuunlock galaxy tab

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,453
Reaction score
872,063
nina galaxy tab Samsung, kuna mtu nilimwachia akaweka pattern lock halafu akasau ile format, nahitaji. mwenye. ujuzi wakuondoa hiyo shida
 
nina galaxy tab Samsung, kuna mtu nilimwachia akaweka pattern lock halafu akasau ile format, nahitaji. mwenye. ujuzi wakuondoa hiyo shida

Fanya Hard reset, itafuta vitu vyote lakini utaweza kuitumia tena
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…