Msaada: Kutuma vyeti kwenda NACTE

Maelephant

Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
25
Reaction score
3
NACTE 26/08/2016 wamenitumia text kwenye email kwamba ni upload original certificate na Transcript, mwanzoni nili upload transcript pekee, kwa wataalam hapo niunganishe hizo mbili kwenye pdf moja? NB Nimeapply diploma in community development
 
Mkuu umemaliza mwaka gani chuo na je aliyemaliza mwaka huu inakuaje maana vyeti havijatoka bado?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…