kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,526
- 8,029
Hapa bila cent bas utaiskia kweny bomba tunakushauri karipoti police, utaipata mara moja kuna kitengo cha intelijensia watakusaidia, hulipi hata senti tano na simu unaipata ndani ya masaa 6, watu wa huku mtandaoni wanakudanganya museee. kila la kheri boss😱😱😛😛