Kijana kwa kujiandaa na kama una uwezo nenda na senti za kutosha kidogo, nakumbuka miaka ile tulikuwa tunalipwa per day 2,500/= na tulipofika boom likawa halijatema, watu wakaishiwa hela kabisa baada ya wiki moja tu ndipo ukaanza mgomo wa hatari tukafukuzwa chuo kizima. Bei ya msosi haipo constant, kuna sehemu zipo juu bei na kwingine bei zipo fair. Wakati ule tulikuwa tunawatumia wadada wa kutupikia a.k.a 'Mugro' yaani tunachanga hela watu kadhaa halafu tunapikiwa, tukitoka class t thax nmekuxoma