Msaada kutoka BHRM Kwenda LLM

kukumsela

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2018
Posts
725
Reaction score
920
Mimi ni mfanyakazi wa sekta binafsi, nina shahada ya kwanza ya usimamiz wa rasilimali watu kutoka chuo gwiji ktk mambo ya utawala na usimamizi MZUMBE UNIVERSITY (MU).Naweza kusoma masters ya sheria naomba muongoz.Gpa yang ni above 3.0
 
Probably mpaka uwe na Postgraduate diploma ya mambo ya Sheria kwanza kabla ya kusoma Masters
 
Hongera, natamani hata mi ningeweza soma Mzumbe, nasikia wapo vizuri sana. Haiwezekani kusoma hiyo kitu according to TCU.
 
Probably mpaka uwe na Postgraduate diploma ya mambo ya Sheria kwanza kabla ya kusoma Masters
Anaweza soma.lakini you will never beba lawyer . kuwa lawyer mpaka use na.first degree ya sheria LLB na then law school. Kasome kwa kukifurahisha na kuelewa mambo but you will never be a learned one
 
hata ukisoma hiyo LLM hutaitwa Wakili au mwanasheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…