Msaada kutoa password

Msaada kutoa password

okon

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2008
Posts
305
Reaction score
92
Jamani nimenunua Samsung E2222 majuzi. Mtoto kashika kabonyezabonyeza mpaka kaweka password, haikumbuki. Ukiiwasha tu, inataka password na mimi siijui, nifanyeje kuifungua?
 
Hard reset, and loose everything!
 
Jamani nimenunua Samsung E2222 majuzi. Mtoto kashika kabonyezabonyeza mpaka kaweka password, haikumbuki. Ukiiwasha tu, inataka password na mimi siijui, nifanyeje kuifungua?

Mkuu ifanyie Factory Reset tu.......
 
Factory reset si mpaka iwake kamanda? Inataka password wakati wa kuwasha.
 
Jamani nimenunua Samsung E2222 majuzi. Mtoto kashika kabonyezabonyeza mpaka kaweka password, haikumbuki. Ukiiwasha tu, inataka password na mimi siijui, nifanyeje kuifungua?

nitafute nikutolee kwenye computer yangu.
 
Back
Top Bottom