Msaada kuthibitisha matokeo kidato cha nne

Mwalimu apige picha majina akutumie.
 
😀😀😀😀unaweza kumchapa kumbe yeye ndiye yupo sahihi, utakuwa umemuonea mkuu
Kwa nn awe na matokeo aina 2. Inabid tuangalie nae na atoe namba inayofanana na ya ticha la sivyo ni mbata tu
 
Nashukuru sana kwa mawazo mema. Tunajitahidi kwenda naye taratibu na kumtia moyo
 
Nenda shuleni ukifika utakutana na matokeo wale necta wanapeleka kila shule matokeo yenye namba tupu na matokeo yenye namba na majina au asubilie results slip zitapofika shuLENI ukiona wanazingua nenda necta
 
Nawashukuru wote kwa maoni yenu, nimemtuma ndugu aliyeko Dar kaenda NECTA kapewa matokeo na jina hadi picha!
 
nenda shulen kwa mtt utapewa sittin arrangement yao ilikuaje utaijua na nmba yake
 
Mtoto muongo asubili result slip kama ikitoka ujue kafaulu ijatoka zero hilo .ila ticha ndo mkweli kulitaja zero ujue inauma
 
[QUOTE="Gafla, post: 1960
Wewe umeyaona matokeo? kama hamna tima jina LA SHULE na namba yake nikuangalizie.
 
Ulizia kama inawezekana kurudia kidato cha pili,kwa shule binafsi,halafu aje afanye mtihani wa mtahiniwa binafsi.Jaribu kuulizia wengi huwa wanafanya hivyo.
That means itambidi asome upya SEKONDARI miaka 3!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…