nauliza inatakiwa gharama kiasi gani kutengenezewa ecommerce website mpaka inakamilika
nilijalibu kwa kampuni ya shopify kutengeneza mimi mwenyewe lakini plan zao kwa mwezi ni kubwa sana basic plan ni $ 29
nahitaji kutengenezewa kwa kampuni nyingine ambayo itakuwa haizidi dollar 15
kama mtanipa step za kuitengeneza mimi mwenyewe itanisaidia zaidi afu nikagharamia domain na hosting