Msaada kuteneneza Photocopy Machine Canon IR2202

Butanyata

Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
51
Reaction score
37
Habari wadau,
Nina shida kwa mwenye kujua jinsi ya kutengeneza photocopy machine aina ya Canon IR2202. Nikiiwasha inaandika 'Download Mode, Please wait'. Nimejaribu kusoma mitandaoni lakini nimeshindwa kuweza tatua tatizo hili. Kwa mwenye ujuzi ama kumjua fundi mzuri wa hizi Photocopy machine nitashukuru sana.
Natanguliza shukrani zangu!!
 
Upo wapi ndugu?
 
Back
Top Bottom