Aina gani ya photocopy machine ni nzuri kwa stationery ndogo

Abuhunna

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
407
232
Habari wana jamii
Kama kichwa cha somo kinavyo eleza hapo juu, tafadhali mwenye ujuzi na uzoefu wa mashine za kutoa nakala yaani photocopy machine anisaidie ushauri.
Je ni aina gani ya photocopy machine ni nzuri kwa kazi ya stationery ndogo, hapo napenda kujua aina pamoja na modeli namba, natanguliza shukrani
 
kwa mtazamo wangu photocopy machine iliyo nzuri na economy ni yeyote yenye kutumia windo wa poda, ila kwa mimi ninge kushauri Cannon Image Runner Ir 2518 na Ir 2520. Ni hayo tu
 
Canon yoyote 2000+ ni nzuri
 
kwa mtazamo wangu photocopy machine iliyo nzuri na economy ni yeyote yenye kutumia windo wa poda, ila kwa mimi ninge kushauri Cannon Image Runner Ir 2518 na Ir 2520. Ni hayo tu
Natanguliza shukrani je kwa used unazifaham bei zake?
 
ndugu nisingependekeza sana kujua bei ya used ,ingawa used ni cheap but it will cost you,service ya photocopy machine ni gali na hata vifaaa vyake ila kama utapenda used pouwa na kama utapenda new one vizuri zaidi
 
Kikubwa na cha muhimu kwenye photocopy angalia imeshapiga copy ngapi
 
ndugu nisingependekeza sana kujua bei ya used ,ingawa used ni cheap but it will cost you,service ya photocopy machine ni gali na hata vifaaa vyake ila kama utapenda used pouwa na kama utapenda new one vizuri zaidi
shukran sana ndugu
 
Nahitaji leam paper A4 (premium) kwa 32000/=@ ..nawezachukua Kama box 30. Npo Morogoro 0768 779134
 
Back
Top Bottom