Easy way ni kuinstall rom nyngne. Hata custom rom pia ni nzur tu.Sijafanya setting zozote nililala nakaamka nikaikuta io notification najaribu kuiondoa inatoka baada ya muda inarudi tena yaan hivyo
Ktu cha kwanza komaa na youtube namna ya kuiunlock hyo bootloader.Kwa mbali sana mkuu ila nikipata steps namna ya kufanya nitaweza
Ngoja niangaike na hii notify block kama itasolve nimepata clip youtube namna ya kuondoaKtu cha kwanza komaa na youtube namna ya kuiunlock hyo bootloader.
Cha pili namna ya kuweka custom recovery ambayo ni kutoka TWRP
Cha tatu ni how to install hyo custom rom kutoka venom roms.
Ni hivyo tu.
Sawa kiongoz ... km upo dar hapa hapa bas ikikusumbua utakuja tuone tunasaidiana vipi.Ngoja niangaike na hii notify block kama itasolve nimepata clip youtube namna ya kuondoa