msaada kuset internet iphone ya kichina

msaada kuset internet iphone ya kichina

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,417
nimewahi kumrekebishia mtu ila leo nimeletewa ingine na naona settings ni tofauti na ya awali na ni tofauti na iphone ya kawaida, sasa kama kuna mtu ana uzoefu na hizi iphone za china mobile anisaidie
 
kama ni line ya tigo nenda kwenye internet profile halafu weka url ya google kisha ifanye kuwa default itakubali hapo..
 
Back
Top Bottom