Msaada: Kusafirisha mzigo kwenda Finland kwa njia ya Posta

PastorA

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
361
275
Nahitaji kutuma mzigo nje kwa kutumia shirika ketu la Posta. Naomba kwa mwenye maelezo anipe gharama zake kwa nchi ya Finland.

Natanguliza shukrani.
 
Nahitaji kutuma mzigo nje kwa kutumia shirika ketu la Posta. Naomba kwa mwenye maelezo anipe gharama zake kwa nchi ya Finland.

Natanguliza shukrani.

Mmmhh sidhani kama kuna mtu atatoa jibu kwa hakika kabisa!

Inakubidi uende na huo mzigo Posta, ila usiufunge kwanza ili pia waukague, kisha waupime uzito wake na wakupe bei!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom