King Octavian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 403
- 353
Wadau habari ya mchana, nimeconnect simu yangu kwenye Pc yenye virus kilichotokea nilipoichoa imefuta files zote na application zote hazifanyi kazi, na kwenye memory kuna data muhimu sana nitafanyeje kuzirudisha?
Pia kuna baadhi ya data nilizi HIDE kwa password kwenye application moja ibaitwa Keep Safe, nimejaribu kuifungua imefunguka lakini data zoote hazionekani nifanyeje?
SD card bado inaonekana ipo na files but hazionekani