msaada kurudisha contacts katika simu

msaada kurudisha contacts katika simu

Kibwagizo

Senior Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
130
Reaction score
8
nikitambua jf ilivyo jungu kuu, naombeni msaada niweze kurudisha contacts zangu.hii ni baada ya kufanya hardreset na mtu ambaye nilikuwa nimemuachia.

help pls.
 
Jaribu ku search recovery software google utapata tu...kwangu sijawahi tumia ya simu ila niliwahi kutumia kwenye camera jamaa alifuta picha za site zote nikasaka net nikapata software
 
aksante mkuu, sasa hiyo recover unainstall kwenye simu au katika computer unaconnect simu.
 
Unatumia simu gani in details?

Isije ikawa unasumbua watu hapa na kitochi cha mchina.............kidding
 
kibwagizo tatizo lenu nyie mpaka mpate matatizo ndo mnakuja, kama hujaandaa msingi vizuri unafkiri tatizo likitokea utaweza kulikabili?

kama ungekua umefanya backup ya contact sasa hv ungekua unazirudisha tu.

kama ni android jaribu kubahatisha labda kuna siku ulizisync na email yako ya google. ila kama ni hizi simu ndogo sahau
 
Kama ni android na uliweka google account basi sync zitarudi. Kama ni iphone na uliweka iCloud pia zitakuwepo kwenye icloud. Otherwise sahau, recovery software itakuwa ngumu hapa maana contacts hazikaagi kwenyen memory card. Kama sio smartphone basi ndo hakuna hope.
 
nashukuru kwa.mchango wako, simu ni c3,
 
kibwagizo tatizo lenu nyie mpaka mpate matatizo ndo mnakuja, kama hujaandaa msingi vizuri unafkiri tatizo likitokea utaweza kulikabili?

kama ungekua umefanya backup ya contact sasa hv ungekua unazirudisha tu.

kama ni android jaribu kubahatisha labda kuna siku ulizisync na email yako ya google. ila kama ni hizi simu ndogo sahau

chief nashukuru ni c3, hivyo chief unasema unanishauri simu niwe naifanyia backup mapema!
nipe maujanja nitakavyo fanya nisije patwa na tatizo kama hili tena.
 
Back
Top Bottom