Msaada: Kurudi kazini

Msaada: Kurudi kazini

muwege mnafikiria vizuri kuna wengine post z hivi juzi wamepata kazi huko huko elimu wanapiga hela tuu na hawataki kwenda kufanya kazi huko wanapata mshahaea wa serikali na hawataki kazi ila wanafanyakazi nyingine muwege na huruma na hii nchi jamani
 
Wadau mimi nilikuwa mwalimu wa sekondari niliacha kazi kama miaka minne iliyopita, niliondoka bila kuaga wala kuandika barua ya kuacha kazi.

Saa hizi nahitaji tena karudi kufanya kazi Serikalini je ntapokelewa, na maombi natuma kwa nani, Tamisemi au kwa Katibu Mkuu?
mkuu pole ila ni kosa lako,kifupi ni muda mrefu hvo lazima utakuwa terminated swala la kuweka no ktk automatic deposit hapo halipo.nenda kwa afisa utumishi mkuu mweleze atakupa utaratibu,huwa ni zoez gumu but try mana wewe kuliwa kichwa ni rahs sana ila kukurudisha ni isu.ktk hl pia kuna hatua mfano unatakiwa kuwashirikisha kiongoz wa dini,mwanasiasa au pia mwanasheria kama niko sahihi ktk hz isu zetu za utumishi
 
Kama uliondoka bila ruhusa utakua ulihesabiwa mtoro Kama watoro wengine, kafatilie kwa mwajiri wako Kama walishakuchukulia hatua za kinidhanu nikiwa na Maana kukufungulia mashtaka TSD au Alikula kimya.
Kama hukufunguliwa mashtaka na kufukuzwa kazi bila UTUMISHI.
Kafatilie kwa HRO akuambie alisimamishaje mshahara wako. Maana kurudi kwenye payroll inasumbua sana baada ya Lawson kuanza
 
Bila Utumishi ndo inakuaje mkuu
 
Kumbe unaweza usiende kazini na mshahara ukaingia tu kweli serikalini raha
 
Hapo wamekutimua tayari...
Kuna mtumishi alinipa kisa chake yeye alienda kusoma bila ruhusa baada ya miaka mitatu akarudi wanakamlima barua..
Sasa hivi yupo na ishu za utalii ngorongoro
 
Wadau mimi nilikuwa mwalimu wa sekondari niliacha kazi kama miaka minne iliyopita, niliondoka bila kuaga wala kuandika barua ya kuacha kazi.

Saa hizi nahitaji tena karudi kufanya kazi Serikalini je ntapokelewa, na maombi natuma kwa nani, Tamisemi au kwa Katibu Mkuu?
Kati ya pesa na elimu chagua pesa na kati ya pesa na akili chagua akili ...wewe ulichagua elimu na kuacha pesa tatizo lipo hapo ...
 
Back
Top Bottom