msaada!kupunguza unene kwenye mikono

msaada!kupunguza unene kwenye mikono

cuchi

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2012
Posts
218
Reaction score
74
Habari za sikukuu wakuu!! Naomba msaada wa mdau anayejua njia mbadala ya kupunguza unene kwenye mikono!nina umbo la kawaida ila nina mikono ka nanyanyua vyuma yaaan kiasi cha kwamba nikivaa nguo ya kata mikono ka nataka kupaa! Yaaan mikono yng na mwili wng ni vitu wiwili tofautiplz wadau nisaidieni!!
 
Tumia aloe body toning kit! Usiwe mjamzito au umefanyia upasuaji hivi karibuni! Pm for contacts and further information
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom