naomba msaada website ya kuweza kudownload whatsapp,sim yangu ni samsung omnia i900 inatumia windows 6.1,nmetafuta mpaka nmechoka,pia jins ya kui upgrade itumie windows 6.5 natanguliza shukran