Naamini humu ndani kuna wadau wenye uwezo wa kusaidia kupatikana kwa softcopy ya rasimu ya katiba iliyotengenezwa na Bunge Maalumu ili tuanze kuingalia kwa umakini na kujua kama inafaa kura HAPANA au NDIO. Maana maneno matupu hayavunji mfupa. 😛eep:

Tusolilaume bunge la katiba tufahamu kuwa sisi wenyew watanzania huwa hatulubali mawazo ya sisi kwa sisi. Kila MTU ana taka atoe kero zake na co kuchanganua Yale yaliyowekwa kwenye ajenda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.