mkuu wakati unaclick kitu kidownload lazima opera iulize unataka usave wapi kuwa makini sio kila kitu una acept.
then ukibonyeza menu halafu download utayaona mafile uliodownload na opera.
kama file linafunguka na os mfano miziki na video utaweza kuyafungua kutokea opera.
kama file yanafunguka na 3rd party mfano rom za emulator au compressed files kama rar hutaweza yafungulia toka opera hadi uende folder yalipodownloadika