hancy designer
Member
- Mar 25, 2017
- 40
- 17
Habar zenu mimi ni hancy naomba msaada kama kunamtu anauelewa wa kupata domain kwaajili ya blog lakini iwe domain ya bure
Nipe mawasiliano tuwasiliane basimkuu katika maisha yao yote usipende vitu vya bure, kitu cha bure kina mwisho.....yani yule aliyekupa siku yoyote atakayoamua kukuzimia domain yake anaichukua then watembeleaji wa hiyo domain watapata tabu kwani watakapokuwa wanaitafuta watakuwa hawaipati....tafuta pesa nunua domain nadhani ni kama 15000/= kwa mwaka...itakushinda...?
vitu vya bure vina mipaka
ukinunua itaku hasani.com
chabure kitakuwa hasani.eddymhando.com
nadhani hapo umeona nzuri ni hiyo ya kwanza yenye jina kisha .com tena inakuwa rahisi kuliko hiyo ya bure unayoitaka...
0653688004...Nipe mawasiliano tuwasiliane basi
ukipenda vitu vya bure utakufa masikini..Kuna jamaa huku ukiwaambia watoe hata 100,000 waweze kufanikiwa wanaona kama unataka kuwaibia pesa yao.. Mambo ya mitandao bila kutoa pesa huwezi kupata pesa..Habar zenu mimi ni hancy naomba msaada kama kunamtu anauelewa wa kupata domain kwaajili ya blog lakini iwe domain ya bure
AsanteZipo nilishawahi kutumia ila ni za viunga vya .tk, .ml, .ga nk. Ila kwa hapa tanzania hawakupi labda ubadili Ufiche ip na ufanye kama uko nje.
website za kupata ni freenom.com