Uwe tayari kupima
Nenda hospitali ya karibu na wewe. Dawa ni bure. Ukishindwa kujieleza vizuri utatakiwa ukamlete uliyemuuzia mechi.
Kuwahi kwako ndo uhakika wa dawa kukusaidia. The sooner the better, japo protocol inasema ndani ya saa 72 baada ya biashara.