na wewe unaongeza swali!Umewaza njia gani badala tofauti na hiyo?
nunua kiooWakuu nina simu imekufa kioo. Nataka nipate baadhi ya data zilizomo kwene cm tatizo nikiweka kwene computer inanambia folder empty ili hali picha zipo na data zingine zipo naomba msaada wakuu.
Kuja kuuliza jukwaani kwa watu wenye uelewa zaidi yanguUmewaza njia gani badala tofauti na hiyo?
Boss nimenunua simu nyingine kutokana na matengenezo ya kioo kuwa gharinunua kioo
Nataka kufahamu anawaza nini kwanza baada ya njia ya kwanza kubuma.na wewe unaongeza swali!
nunua kioo
Simu gani.?Boss nimenunua simu nyingine kutokana na matengenezo ya kioo kuwa ghari
Hii haiwezekani sababu nimenunua simu nyingineMleta mada fanya hili.
Hii haiwezekani sababu nimenunua simu nyingine
kwa hyo hapa hakuna njia nyingine naweza pata hizo data mkuu?Kwa kutumia, USB inakuja empty folder kwa sababu unatukiwa uchague option ya MTP
(Media Transfer Protocol) kwa kuswipe chini sehemu ya juu ya screen na kisha utaona
Maandishi yanasema "tap for more options" koz default option ni kucahaji simu hivyo unapaswa ubadilishe.
So kwa bahati mbaya screen imeharibika, ungekuwa na airdroid ungeamisha kupitia wi-fi.
Hiyo simu yako haiwezi fanya kitu chochote kwa kugusa?hata kuwasha hotspot?kwa hyo hapa hakuna njia nyingine naweza pata hizo data mkuu?
Wakuu nina simu imekufa kioo. Nataka nipate baadhi ya data zilizomo kwene cm tatizo nikiweka kwene computer inanambia folder empty ili hali picha zipo na data zingine zipo naomba msaada wakuu.
Simu gani?Wakuu nina simu imekufa kioo. Nataka nipate baadhi ya data zilizomo kwene cm tatizo nikiweka kwene computer inanambia folder empty ili hali picha zipo na data zingine zipo naomba msaada wakuu.
Nimejaribu kutafuta kupitia google nimekutana na solution inayoendana na tatizo lako.kwa hyo hapa hakuna njia nyingine naweza pata hizo data mkuu?
Kupata picha na video ni rahisi chakufanya unatakiwa kukumbuka account yako ya Google yaani gmail account kisha kwenye hiyo cm mpya ulionunua ifungue kwa hiyo gmail account iliyokuwa kwenye cm iliyoharibika baada ya hapo tafuta google photos app ifungue au log in kwa hiyo gmail account utakuta picha zako na video hata za miaka 5 iliyopita.Wakuu nina simu imekufa kioo. Nataka nipate baadhi ya data zilizomo kwene cm tatizo nikiweka kwene computer inanambia folder empty ili hali picha zipo na data zingine zipo naomba msaada wakuu.
samsung j1 aceSimu gani?
Tuanzie hapo kwanza