Msaada kupata chumba cha biashara mkoa wa Dodoma

Msaada kupata chumba cha biashara mkoa wa Dodoma

Joined
Sep 27, 2014
Posts
27
Reaction score
2
nipo dodoma mjini ninahitaji kupata chumba kwaajili ya biashara kwa wale watu wa dodoma naombeni mnisaidie kutafuta chumba hcho kiwe katikati ya mji yani naombeni msaada wenu wadau.
 
Back
Top Bottom