Hakun mkuu. Unapata ITV, EATV, CAPITAL, STARTV, AFRICA SWAHILI, PROIN, CITZEN, EMMANUEL TV, ALJAZEERA, NHK, ARIRANG, SAUDI 2, ARISE AND SHINE, LIVING WATER, CHANNEL TEN, DUBAI SPORT 2, na iFilmSamahani wakuu kutokana na ugumu wa maisha hasa malipo ya hivi visimbuzi nikaamua kujikwamua wa kununua LED tv ambayo ina kareceiver kwenye uwezo wa kupata baadhi ya digital channel za nyumbani baadhi na nje zisizozidi 10 na channel nyingine hazioneshi,msaada kutoka kwenu je hakuna namna ninayoweza Fanya walau nikaweza kuongeza free channel nyingine nikaenjoy?
Sasa mkuu haiwezekani kupata freequncy walau nikasearch zikaongezeka au inakuwa haiwezekani?Hakun mkuu. Unapata ITV, EATV, CAPITAL, STARTV, AFRICA SWAHILI, PROIN, CITZEN, EMMANUEL TV, ALJAZEERA, NHK, ARIRANG, SAUDI 2, ARISE AND SHINE, LIVING WATER, CHANNEL TEN, DUBAI SPORT 2, na iFilm
Zilizobaki ziko scrambled walizifungia zamani ulikuwa wapata package yote ya continental
Ngoja waje ila kwakuwa hairuhusu ku edit keys nahisi itakuwa ngumuSasa mkuu haiwezekani kupata freequncy walau nikasearch zikaongezeka au inakuwa haiwezekani?
Mkuu unatumia antenna au dish? tv yako ni aina gani? (samsung, sony au lg?) nahitaji kufanya uamuzi kama wakoSamahani wakuu kutokana na ugumu wa maisha hasa malipo ya hivi visimbuzi nikaamua kujikwamua wa kununua LED tv ambayo ina kareceiver kwenye uwezo wa kupata baadhi ya digital channel za nyumbani baadhi na nje zisizozidi 10 na channel nyingine hazioneshi,msaada kutoka kwenu je hakuna namna ninayoweza Fanya walau nikaweza kuongeza free channel nyingine nikaenjoy?
Asante mkuuAntenna ya kawaida mkuu,Samsung inch 32 model 4100 made in Pakistan Sema sijajua kama na model nyingine zinasupport hili.
sachi vizuri TV1 ipo Mkuu nenda auto search Utaipata LIVE bila chenga.Vp mkuu hiyo ya kwako inashika channel TV1 ya kwangu ni Samsung kama ya kwako inashika channel zote za free kasoro tv1.Niko Arusha.
sachi vizuri TV1 ipo Mkuu nenda auto search Utaipata LIVE bila chenga.
mkuu mimi natumia king'amuzi cha startimes chenye ufito wa njano,napata tbc,tv1 na zbc tu,msaada plzHakun mkuu. Unapata ITV, EATV, CAPITAL, STARTV, AFRICA SWAHILI, PROIN, CITZEN, EMMANUEL TV, ALJAZEERA, NHK, ARIRANG, SAUDI 2, ARISE AND SHINE, LIVING WATER, CHANNEL TEN, DUBAI SPORT 2, na iFilm
Zilizobaki ziko scrambled walizifungia zamani ulikuwa wapata package yote ya continental
Mkuu hizo channel tunaongelea LED tv zenye kingamuzi ndani yani wewe wafanya kuchomeka waya wa antena kwenye screen na ku auto searchmkuu mimi natumia king'amuzi cha startimes chenye ufito wa njano,napata tbc,tv1 na zbc tu,msaada plz
😳😳😳Mkuu hizo channel tunaongelea LED tv zenye kingamuzi ndani yani wewe wafanya kuchomeka waya wa antena kwenye screen na ku auto search
Nisaidie unazipatia wapi mm Nina qsat28Hakun mkuu. Unapata ITV, EATV, CAPITAL, STARTV, AFRICA SWAHILI, PROIN, CITZEN, EMMANUEL TV, ALJAZEERA, NHK, ARIRANG, SAUDI 2, ARISE AND SHINE, LIVING WATER, CHANNEL TEN, DUBAI SPORT 2, na iFilm
Zilizobaki ziko scrambled walizifungia zamani ulikuwa wapata package yote ya continental