Kuna mmoja amenishauri nikodi "Chain Hoist Crane" kiswahili chake sijui yaitwaje,Duh unazingua karibia bomba 20 Hivi za futi Ishirini?? Aiseeee Sidhani kama kuna namna ya kuzitoa, Usije kukubali kudanganywa maana hata ukifikiria tu Kwa hali ya kawaida ni ngumu.
Unaweza kufanikiwa lakini uwezekano wa kupata bomba zote kamili ni mdogo unaweza kupata nusu au robo tatu ya hayo mabomba.Kuna mmoja amenishauri nikodi "Chain Hoist Crane" kiswahili chake sijui yaitwaje,
Kisha niizamishe mpaka chini kabisa ya Pipe (60 meters) down kisha ikinasa kwenye bomba la mwisho nianze kuvuta juu. Sielewi hii imekaaje yaani Mkuu,
Hasara yake hiki kisima na vyuma vilivyo dah
Hapa Pia Mkuu nawania kuokoa kuchimba mita zingine 80 mpya, so Bomba zikitoka zote hata kama zitatoka zimepasuka mradi kwenye kuchimba nitachimba mita 20 au 30 tu kama nikiendeleza shimo lile lileUnaweza kufanikiwa lakini uwezekano wa kupata bomba zote kamili ni mdogo unaweza kupata nusu au robo tatu ya hayo mabomba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hao waliokuchimbia mwanzo wamekwambia ucimbe kipya kwa sababu gani? Je, umewaambia hilo wazo la kwamba hata zikipasuka kwako ni fresh tu wamesemaje?Hapa Pia Mkuu nawania kuokoa kuchimba mita zingine 80 mpya, so Bomba zikitoka zote hata kama zitatoka zimepasuka mradi kwenye kuchimba nitachimba mita 20 au 30 tu kama nikiendeleza shimo lile lile
Wao ni Wafanyabiashara,Kwani hao waliokuchimbia mwanzo wamekwambia ucimbe kipya kwa sababu gani? Je, umewaambia hilo wazo la kwamba hata zikipasuka kwako ni fresh tu wamesemaje?
Duu, wafanyabiashara wa awamu hii nao ni pasua kichwa, yaani hata kwa kupasuka hazitoki? Tafuta kampuni nyingine ikupe ushauri mzuri!!Wao ni Wafanyabiashara,
Nimewaza wanataka nichimbe kipya ili wachukue hela zaidi,
Kuhusu Bomba wamesema haziwezi kutoka hata kwa kupasuka
Dah,Habari mm ni mchimbaji wa visima kila maeneo yana water level yake hapo inaonekana alie chimba amefata maelezo yako ya mita 60 hakuangalia sample ya mwamba wenye maji katika uchimbaji kila baada ya mita 2 lazima upange sample ili ujue jinsi ya kupangilia bomba katika PVC kuna screen na plane sample ndy inaonesha jinsi ya kupanga PVC tena kwa mchoro jinsi sample zilivyo onesha. Hapo kuna mawili pengine bomba zimewekwa bila ya mpangilio wa sample au sio water level ya eneo husika ambayo imechibwa. Na PVC zikisha wekwa ukweli haziwezi kutoka. Hakuna sababu ya kukosa maji endapo mchimbaji atazingatia sample zitakavyo onesha hata angechimba mita 100 ila akikosea kupanga bomba hakuna maji. Kwa ushauri au mahitaji yoyote kuhusu huduma ya kisima tuwasiliane : 0688525288
/0653677815 kazi zetu ni za uhahika
Dah kiukwel hapo mkuu imeshakua hasara.hao jamaa walio kuchimbia walikuja kuangalia kwann hakitoi majiDah,
So mkuu wanishauri nini labda?
Maana kuchimba Upya tena from Zero hiyo hela kwa sasa sinayo yaani
Mkuu Shark huu ushauri ni sahihi kabisa, niliwaona jamaa wanavyochimba! Uwezekano wa kuzitoa ni mdogo saana maana hazina viunganishiHabari mm ni mchimbaji wa visima kila maeneo yana water level yake hapo inaonekana alie chimba amefata maelezo yako ya mita 60 hakuangalia sample ya mwamba wenye maji katika uchimbaji kila baada ya mita 2 lazima upange sample ili ujue jinsi ya kupangilia bomba katika PVC kuna screen na plane sample ndy inaonesha jinsi ya kupanga PVC tena kwa mchoro jinsi sample zilivyo onesha. Hapo kuna mawili pengine bomba zimewekwa bila ya mpangilio wa sample au sio water level ya eneo husika ambayo imechibwa. Na PVC zikisha wekwa ukweli haziwezi kutoka. Hakuna sababu ya kukosa maji endapo mchimbaji atazingatia sample zitakavyo onesha hata angechimba mita 100 ila akikosea kupanga bomba hakuna maji. Kwa ushauri au mahitaji yoyote kuhusu huduma ya kisima tuwasiliane : 0688525288
/0653677815 kazi zetu ni za uhahika
Mkuu kama haukuwepo pengine hakikufika mita ulizotaka ilitakiwa uwepo ujue bomba ngapi zimeingia kila bomba 1 ina mita 3 au jaribu kutafuta kitu ambacho unaweza kupima ili ujue kama kwel walitimiza hizo mita 60Mimi sikuwepo wakati wakitumbukiza hizi Pipes,
Lakini nilidhani kuna male-female connection kati yao, kama wanavyounga pipes za majumbani labda