Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,791
Uwe unatumia kondom ukipata kiu eeh! Ili kikojoleo chako kisitoboke, sawa?heheheheh
Uwe unatumia kondom ukipata kiu eeh! Ili kikojoleo chako kisitoboke, sawa?heheheheh
sawa mkuu..Uwe unatumia kondom ukipata kiu eeh! Ili kikojoleo chako kisitoboke, sawa?
Uko Tanzania mjini ama kijijini maana nasikia Dar anga imetoboka..na kwa kamvua haka mwaka ujao Makonda atawaita wengi pale ilala! Wewe huna gome hapo?sawa mkuu..
punguza kula malayaaa kijana utakufaa. ngono zembe inauwa.Wakuu nimepata mapele makubwa kwenye uume na mapaja na eneo la mavuzi jamani kwa mtu anaye jua dawa ya kuondoa naomba tu aniambie nimetumia dawa bado hali ni tete