Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,531 Reaction score 42,691 Nov 19, 2020 #1 Wadau naombeni msaada jinsi ya kuondoa auto subscription ktk thread. Yaani kwasasa nikichangia tu uzi inakua ni kero kwa notifications!! Ninakua subscribed ktk kila uzi nnaochangia nifanye nini kujitoa?
Wadau naombeni msaada jinsi ya kuondoa auto subscription ktk thread. Yaani kwasasa nikichangia tu uzi inakua ni kero kwa notifications!! Ninakua subscribed ktk kila uzi nnaochangia nifanye nini kujitoa?
Joeli JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 4,941 Reaction score 3,417 Nov 20, 2020 #2 Lusungo said: Wadau naombeni msaada jinsi ya kuondoa auto subscription ktk thread. Yaani kwasasa nikichangia tu uzi inakua ni kero kwa notifications!! Ninakua subscribed ktk kila uzi nnaochangia nifanye nini kujitoa? Click to expand... Kama unatumia app, nenda settings > push notifications, kisha disable Kama unatumia tovuti, fungua profile page yako, nenda preferances, halafu angalia kama umeweka kama inavoonekana hapa chini
Lusungo said: Wadau naombeni msaada jinsi ya kuondoa auto subscription ktk thread. Yaani kwasasa nikichangia tu uzi inakua ni kero kwa notifications!! Ninakua subscribed ktk kila uzi nnaochangia nifanye nini kujitoa? Click to expand... Kama unatumia app, nenda settings > push notifications, kisha disable Kama unatumia tovuti, fungua profile page yako, nenda preferances, halafu angalia kama umeweka kama inavoonekana hapa chini
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,531 Reaction score 42,691 Nov 20, 2020 Thread starter #3 Joeli said: Kama unatumia app, nenda settings > push notifications, kisha disable View attachment 1630295 Kama unatumia tovuti, fungua profile page yako, nenda preferances, halafu angalia kama umeweka kama inavoonekana hapa chini View attachment 1630296 Click to expand... Asante sana mkuu
Joeli said: Kama unatumia app, nenda settings > push notifications, kisha disable View attachment 1630295 Kama unatumia tovuti, fungua profile page yako, nenda preferances, halafu angalia kama umeweka kama inavoonekana hapa chini View attachment 1630296 Click to expand... Asante sana mkuu
yello masai JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 3,927 Reaction score 4,199 Nov 20, 2020 #4 Joeli said: Kama unatumia app, nenda settings > push notifications, kisha disable View attachment 1630295 Kama unatumia tovuti, fungua profile page yako, nenda preferances, halafu angalia kama umeweka kama inavoonekana hapa chini View attachment 1630296 Click to expand... Hata mi natumia app na nna tatizo hilo. Lakin hii njia haijanisaidia
Joeli said: Kama unatumia app, nenda settings > push notifications, kisha disable View attachment 1630295 Kama unatumia tovuti, fungua profile page yako, nenda preferances, halafu angalia kama umeweka kama inavoonekana hapa chini View attachment 1630296 Click to expand... Hata mi natumia app na nna tatizo hilo. Lakin hii njia haijanisaidia
yello masai JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 3,927 Reaction score 4,199 Nov 20, 2020 #5 Lusungo said: Asante sana mkuu Click to expand... Wewe umefanikiwa?
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,531 Reaction score 42,691 Nov 20, 2020 Thread starter #6 yello masai said: Wewe umefanikiwa? Click to expand... Imenisaidia mkuu