Msaada: Kunusuru documents kwenye laptop.

Afande Nyati

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
2,385
Reaction score
1,414
Salaam wakuu.
Nilitaka kubadili window kwenye laptop yangu, sasa nikajisahau kama nilifanya partion ya GPT (partion baada ya kuwa nime instal window). Sasa wakati nabadili window nikawa nimesha format disc "C" ndo ikagoma na inaniambia haiwezi kuinstall window kwa kuwa iko GPT partion.

Sasa nawezaje kunusuru documents za local dics D na F? Msaada wana technolojia.

Cc Chief-Mkwawa na wengind wote.
 
Nilisha solvegi ili tatizo by using CMD ngona ngoja nifunue documents zangu nikutumie izo command
 
Mimi nilikua natumia linux, nikataka weka windows ikaniletea hiyo meseji, nikaformat kwa kutumia cmd! Daah nikafuta kila kitu kuanzia documents mpaka partitions!!

Chief-Mkwawa nawezaje recover documents zangu ambazo before zilikua kwenye partion ila baada ya kuformat nikafuta docs na partion zote je kuna uwezekano wa kuzipata??
 
Ili kuepuka usifute vitu vyako hakikisha bios yako ina feature ya UEFI, switch from legacy to uefi in bios setting. Tafuta windows 10 64bit, tengeneza bootable usb kwa kutumia rufus. Kwenye partition scheme chagua GPT for uefi. Baada ya hapo install windows.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…