Habari wakuu, samahani nataka kufuga kuku wa mayai 200, hivyo naomba msaada ni wapi naweza pata vifaranga. Na je ni aina gani ya vifaranga wazuri. Mimi naishi Boko Dsm.
Natanguluza shukrani .
Habari wakuu, samahani nataka kufuga kuku wa mayai 200, hivyo naomba msaada ni wapi naweza pata vifaranga. Na je ni aina gani ya vifaranga wazuri. Mimi naishi Boko Dsm.
Natanguluza shukrani .
Vifaranga bora wanapatikana ubungo mataa hapo ukivuka kituo cha DART kilichopo karibu na TANESCO hapo uwe kama unaelekea chuo tembea kama mita 20 uliza yeyote atakuelekeza
Vifaranga bora wanapatikana ubungo mataa hapo ukivuka kituo cha dart kilichopo karibu na tanesco hapo uwe kama unaelekea chuo tembea kama mita 20 uliza yeyote atakuelekeza