K Kisendi JF-Expert Member Joined Jan 29, 2009 Posts 699 Reaction score 180 Jul 15, 2014 #1 Wadau naomba ufafanuzi wa hii gari SUZUKI KEI. Kama kuna mtu anayo anipe details upande wa upatikanaji wa vipuri, bei zake na ubaya wake. Kina cc650
Wadau naomba ufafanuzi wa hii gari SUZUKI KEI. Kama kuna mtu anayo anipe details upande wa upatikanaji wa vipuri, bei zake na ubaya wake. Kina cc650
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 11,670 Reaction score 13,988 Jul 15, 2014 #2 Bei 7.5 mwisho 7.3 kamili mkuu,vipuri vipo vya kumwaga tu,huo mzigo unakula mafuta vizuri sana mkuu hvyo kwa town trips unafaa sana, kama unataka nikuagizie usisite kunistua,utapata gari nzuri sana tena yenye low mileage kabisaaa
Bei 7.5 mwisho 7.3 kamili mkuu,vipuri vipo vya kumwaga tu,huo mzigo unakula mafuta vizuri sana mkuu hvyo kwa town trips unafaa sana, kama unataka nikuagizie usisite kunistua,utapata gari nzuri sana tena yenye low mileage kabisaaa
K Kisendi JF-Expert Member Joined Jan 29, 2009 Posts 699 Reaction score 180 Jul 15, 2014 Thread starter #3 Wewe ni dealer au mnakampuni ya kuagza magari... #steveachi
K Kisendi JF-Expert Member Joined Jan 29, 2009 Posts 699 Reaction score 180 Jul 15, 2014 Thread starter #4 Nitumie picha ya hizo gari kwenye PM #steveachi
K Kisendi JF-Expert Member Joined Jan 29, 2009 Posts 699 Reaction score 180 Jul 15, 2014 Thread starter #5 m7 sitapati mkuu. Inachukua muda gani mpaka kufika bongo.
K Kisendi JF-Expert Member Joined Jan 29, 2009 Posts 699 Reaction score 180 Jul 15, 2014 Thread starter #6 Nini kikubwa tunachoangalia tunaponunua hizi used car ni bodi yake au mileage au bei....nifahamisheni wataalamu wa magari
Nini kikubwa tunachoangalia tunaponunua hizi used car ni bodi yake au mileage au bei....nifahamisheni wataalamu wa magari