D devijoy JF-Expert Member Joined Oct 25, 2018 Posts 1,031 Reaction score 1,369 Aug 5, 2022 #1 Wakuu naomba kwa mwenye ufahamu wa njia ya kutumia kuzirejesha Pavements zilizofubaa ili zing'ae kama awali tutumie nini? Natanguliza shukrani.
Wakuu naomba kwa mwenye ufahamu wa njia ya kutumia kuzirejesha Pavements zilizofubaa ili zing'ae kama awali tutumie nini? Natanguliza shukrani.
E Englishlady JF-Expert Member Joined Apr 11, 2013 Posts 2,734 Reaction score 3,647 Aug 7, 2022 #2 devijoy said: Wakuu naomba kwa mwenye ufahamu wa njia ya kutumia kuzirejesha Pavements zilizofubaa ili zing'ae kama awali tutumie nini Natanguliza shukrani. Click to expand... Unarudia kupaka rangi. Mimi huwa napaka rangi tena kila zinapopauka.
devijoy said: Wakuu naomba kwa mwenye ufahamu wa njia ya kutumia kuzirejesha Pavements zilizofubaa ili zing'ae kama awali tutumie nini Natanguliza shukrani. Click to expand... Unarudia kupaka rangi. Mimi huwa napaka rangi tena kila zinapopauka.
Murii Member Joined Dec 16, 2020 Posts 30 Reaction score 23 Aug 16, 2022 #3 Mkuu naweza kuona zilivyo tupeane ushauri whatsapp 0687178858