Password yako aliijuaje labda tuanzie hapoLeo kuna m2 kajitumia pesa kutoka kwenye account yangu ya tigo pesa kiasi cha Laki mbili na nilipo wapigia tigo wamesema niende polisi na kiukweli they dont coperate kabisa kwa upande wangu hiyo pesa ilikua muhimu saana ndugu zangu tafadhali nisaidien nifanyaje
Michezo ya ksmpuni husikaPassword yako aliijuaje labda tuanzie hapo
Fuata ushauri wa Tigo.Leo kuna m2 kajitumia pesa kutoka kwenye account yangu ya tigo pesa kiasi cha Laki mbili na nilipo wapigia tigo wamesema niende polisi na kiukweli they dont coperate kabisa kwa upande wangu hiyo pesa ilikua muhimu saana ndugu zangu tafadhali nisaidien nifanyaje
mkuu kuna watu bado hadi leo huwa password wanaweka miaka yao ya kuzaliwa kwahiyo mtu option ya kwanza anakadiria tuu huyu wa 90' anamaliza mamboPassword yako aliijuaje labda tuanzie hapo
Daah kama pswd anatumia mwaka wake wa kuzaliwa,,hilo alilopata ni fundisho toshamkuu kuna watu bado hadi leo huwa password wanaweka miaka yao ya kuzaliwa kwahiyo mtu option ya kwanza anakadiria tuu huyu wa 90' anamaliza mambo
Kama kampuni ndo inajihusisha na huo mchezo namshauri apeleke suala lake mahakamaniMichezo ya ksmpuni husika