Nimetembelea blog yako mkuu. Nilichogundua kwenye blogs nyingi ambazo zimetengenezwa via Google application - blogger huwa zinakuwa na matatizo mengi kwenye muonekano hasa unapotengeza new template njee ya Google template.
Hivyo unapokuwa unatengeza mara nyingi hili tatizo kwa blogger huwa alioni bali viewers ndio wanakuwa wanaona muonekano wa template ni mbaya na hata blog posts huwa hazipo sawa. Kwa mtazamo wangu sijajua hili tatizo ni kwa nini huwa linajitokeza.
Siku njema fanyia kazi hilo ukipata majibu tujuzane.