Msaada: kulipia AD account instagram

Msaada: kulipia AD account instagram

mzabhe

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
261
Reaction score
280
Wakuu naomben msaada namna ya kulipia tangazo instagram kwa sababu kila navojarib kulipia kwa mpesa mastercard naambiwa mm sio admin wa hiyo account, naombeni ambaye anajua anisaidie
 
Wanasumbua sana hao..mm kila nikitaka kuiunga na facebook acount wananiambia haiwezekani
 
Back
Top Bottom