Julius byakuzana
New Member
- Mar 4, 2019
- 3
- 3
Habari ndugu zangu. Mimi ni mtanzania mwenye umri wa miaka 30, kiwango Cha elimu (FEDHA & UHASIBU, NTA-5; pia OFFICIAL STATISTICS, NTA-5). Changamoto ya kiuchumi inanifanya nizidi kuchukua mda mrefu kukamilisha ngazi ya diploma angalau mojawapo.
Je, kwa hiyo ngazi ya elimu, ninaweza kuomba ajira? Na kwa taratibu gani? Au je, Kuna ruzuku za ada zinazotolewa Ili niweze kukamilisha masomo? Karibuni sana kwa mchango wenu wa mawazo. Asanteni.
Je, kwa hiyo ngazi ya elimu, ninaweza kuomba ajira? Na kwa taratibu gani? Au je, Kuna ruzuku za ada zinazotolewa Ili niweze kukamilisha masomo? Karibuni sana kwa mchango wenu wa mawazo. Asanteni.