Cinnamon sticks ni mdalasiniahsante sana hata hapo umenisaidia sana thanks
Majani ya mdalasinileaf bay ni nini?
Parsely??VIUNGO VYENYEWE NI HIVI
Bay leaf
Cinnamon Stick
Star Anise
Black peppercorn
Turmeric Powder
Cilantro
sio Pearsly ni parsley ni majani yanataka kufanana na majani ya kotmili.Pearsly??
Mint?
Basil?
Alligator Pepper?
Bay leaf naifaham ila Kiswahili chake sikijui pamoja na starAniseVIUNGO VYENYEWE NI HIVI
Bay leaf
Cinnamon Stick
Star Anise
Black peppercorn
Turmeric Powder
Cilantro
Kotmil ni nini?sio Pearsly ni parsley ni majani yanataka kufanana na majani ya kotmili.
Mint ni mnanaa/nanaa
basil - mrihani
GiligilianiKotmil ni nini?
Parsley sio mziwaziwa?sio Pearsly ni parsley ni majani yanataka kufanana na majani ya kotmili.
Mint ni mnanaa/nanaa
basil - mrihani
Mm sijui kiswahili chake kwa kweliParsley sio mziwaziwa?
Giligilan ulayaMm sijui kiswahili chake kwa kweli
SiyoM
Majani ya mdalasini