Wapendwa naomba kujuzwa jinsi ya kujiunga bbm,nina cm mpya ya BB ambayo app. nyingi nikitaka kutumia inanitaka niwe na id ya BBM.Sikuwahi kuwa na cm hii before.
Natanguliza shukrani.
Mbona simu yenyewe inatoa maelekezo? Inapokwambia unahitaji a/c ya BBM haikuonyeshi sign up button ambayo unapaswa kuclick na kujaza fomu? Ebu check vizuri kwanza.