Hapa naona wanaotoa help wengi wao hawana hizo simu,wana Google hiyo problem then wanaleta solutions hapa.Nani mwenye hiyo simu ambaye amefanikiwa ku unlock ataje hapa?Mimi mwenyewe nimetoka kuibadilishia ROM lakini lock bado iPO!!!
---Believdat---
xor jaman ! me nna mpango wa kununua hyo ideos naomben kujua k2 unique kwny hyo 4n
mimi ilinitumia miezi nne kuamua ku ku unlock,usikubali zaidi ya sh25,000 maana wengine wanafanya mpaka sh 35,000.Ahsante sana Duh!! 25,000 nabidi nijipange kidogo ...
Kama unatokea kkoo kuelekea round. About. Ya. Shule ya uhuru barabara ya mwisho upande wa kulia. Ulizia utaonyechwa au kama unataka no ya simu ya mtu aliye unlock yangu nitakupa.
kitu unique kwa hii simu naweza kusema ni bei yake ya chini kuliko android phones nyingi in the market ..ina fast internet (tigo wakiachaga upumbavu wao wakubana speed ) unaeza uitumie kama wifi hotspot so unaweza kusambaza internet kwenye device tofauti kama Ps3,laptop, iPod, zune chochote chenye wifi compatibility. na ukiiroot na ukaanza utundu unaeza update hii simu to the latest version of android 2.3.7 na android 4.2...Tatizo lake kuu ni battery ukitumia 3g throughout charge inaisha baada ya masaa 5-6 na pia game kubwa kama asphalt6, azikubali
xor jaman ! me nna mpango wa kununua hyo ideos naomben kujua k2 unique kwny hyo 4n