Msaada kuirudisha S5 Orignal iliyofungiwa TCRA

Msaada kuirudisha S5 Orignal iliyofungiwa TCRA

Ila hao wa samsung wanasimu fake , imei unaeeza badilisha ila ni kuvunja sheria. Samsung OG haiwezi tengenezwa ikawa na imei ambayo haitambuliki s5 yako ni fake..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ......haya umeshinda
 
Simu ya galaxy s5 genuine ilifungiwa kipindi TCRA wanafungia simu feki hii ilitokana na kuwepo kwa clone iliyoiga IMEI yangu hivyo kusababisha kufungiwa.....

Nilijaribu kuunlock nikaitumia kwa muda wakaifungia tena.Najaribu kutembelea page ya TCRA ili niwaambie naona page ina crash

Naomba msaada kwa mtu mwenye namna nzuri ya kuwasiliana na TCRA ili wanifungulie simu yangu au kama kuna mtu anaweza nishauri zaidi ya hapo nakaribisha asanteni.
TCRA HAWAFUNGUI SIMU BAL WANAZIFUNGIA SIMU AMBAZO HAZIKO KWENYE MFUMO RASMI KWA KUTUMIA imei
 
Back
Top Bottom