Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,499
- 8,686
Kwa s5 kama 70elfu hadi 80Permanent inaeza enda adi bei gani mkuu ili nijue naanza kutafta fundi na bei gani mfukoni
Kwa s5 kama 70elfu hadi 80Permanent inaeza enda adi bei gani mkuu ili nijue naanza kutafta fundi na bei gani mfukoni
Kwa samsung za siku hizi security imebabadilika huwezi weka imei yoyote kama tecno au samsung s2 s3 s4 note 2 nk samsung za siku hizi ili kibadilisha imei inabidi uwe na certificate file ambayo ndani yake ina hiyo imei... zamani zilikuwa zikitumika cert files yoyote utakayoikuta mtandaoni lakini toka mfump huu wa tcra uanze waweza weka certificate kutoka mtandaoni na simu ikafanya kazi shida ni kwamba hiyo file ikiwekwa kwa simu nyingine wote wawili mtafungiwa hivyo unahitaji upate clean cert file ambayo hautashare na mtu na hizo file zinauzwa na fundi wako awe muaminifu kwamba cert file aliyoinunua kwa ajili yako hataitumia kwa simu nyinginehapo ni kubadisha imei sasa kama kuna mwenye shida hii na yupo dar njoo pm nikuelekeze pa kwenda
Duh!... nlitajiwa hii bei na fundi mmoja kwetu Mbeya nkajua anataka tu kunipiga ela alinielezea adi ayo masuala ya certificate nkataka nije dar labda itakuwa ni ndogo zaidi.. kumbe tena kuna kufungua permanent na temporary!!.. ngj tu niitafute maana sina namna..Kwa s5 kama 70elfu hadi 80
basi solution nadhani itakuwa nikuwacheck TCRA wenyewe.Hakuna cha permanent...wanachokifanya mafundi wanakuwekea imei no ya sim nyingine na ikakaa muda kidogo ad TCRA wakistuka kwamba sim mo1 imei mbili ndio wanaifungia na ndio maana wakikuwekea imei wanakwambia usijaribu kuchek maana ni kama utawastua mapema tu
Ni kwasababu IMEI zake zinakuwa zinafanana na za simu zingineSamsung s5 nyingi zilifungiwa sijui ni kwanini?
Hata ukiwacheki hawatakusaidia zaidi ya kukwambia kwamba ni kosa la jinai kumiliki simu inayofanana IMEI number na simu nyingine, na wao jukumu lao ni kuzifunga hizo simu zenye IMEI numbrer zinazofanana (kwa kuwatumia kina voda, Tigo airtel nk ambao wanatumia mawasiliano yako kupata IMEI ya simu yako) Haijalishi ni orijino ama ni feki. Yaani simu zikishaonekana kuwa zina IMEI zinazofanana wao huzifunga kwa kigezo cha kwamba uharifu unapotokea polisi itawawia vigumu kumtrace muharifu ko kuepuka hiyo adha wanaamua kuzifungia simu zote.basi solution nadhani itakuwa nikuwacheck TCRA wenyewe.
Hakuna kustuka wala nn shida ni kwamba usitumie imei ambayo kunabuwezekano wa kutumiwa na mtu mwingine,. .Hakuna cha permanent...wanachokifanya mafundi wanakuwekea imei no ya sim nyingine na ikakaa muda kidogo ad TCRA wakistuka kwamba sim mo1 imei mbili ndio wanaifungia na ndio maana wakikuwekea imei wanakwambia usijaribu kuchek maana ni kama utawastua mapema tu
Mpigie Mbalawa[emoji338]asante mkuu nataka nifanye ila niko mkoani nilidhani kuna uwezekano wa kuwasiliana nao wakanifungulia.
Kivipi sasa kila simu inatakiwa iwe na imei yake hizo ni fake mnajidanganya et ni original nenda nayo samsung agents ukacheki kama ni originalNi kwasababu IMEI zake zinakuwa zinafanana na za simu zingine
Hivi wewe umeelewa nimechokiandika?? Kama huelewi omba ueleweshwe sio unakurupuka tuKivipi sasa kila simu inatakiwa iwe na imei yake hizo ni fake mnajidanganya et ni original nenda nayo samsung agents ukacheki kama ni original
hata mimi nina shida kama hii, yangun ni note 3 kama una contact na fundi utusaidieNenda kwa mafundi wa simu wanaoaminika watatatua tatizo lako ndani ya dk 10 tu, na bei ya kiirekebisha haitazidi Tshs 10,000/= ni. maelewano yako tu na fundi.
msaada puliiizhapo ni kubadisha imei sasa kama kuna mwenye shida hii na yupo dar njoo pm nikuelekeze pa kwenda
Kwani MTU hawezikubadili imei ya simu yake akaweka anayotaka??Imei ni unique kila simu inaimei yake
Sina contact. Ila nenda kwa fundi yeyote anayetumia computer kama moja ya kitendea Nazi atakusaidiahata mimi nina shida kama hii, yangun ni note 3 kama una contact na fundi utusaidie
Ila hao wa samsung wanasimu fake , imei unaeeza badilisha ila ni kuvunja sheria. Samsung OG haiwezi tengenezwa ikawa na imei ambayo haitambuliki s5 yako ni fake..Kwani MTU hawezikubadili imei ya simu yake akaweka anayotaka??