mchushi
JF-Expert Member
- Dec 23, 2012
- 216
- 98
Simu ya galaxy s5 genuine ilifungiwa kipindi TCRA wanafungia simu feki hii ilitokana na kuwepo kwa clone iliyoiga IMEI yangu hivyo kusababisha kufungiwa.....
Nilijaribu kuunlock nikaitumia kwa muda wakaifungia tena.Najaribu kutembelea page ya TCRA ili niwaambie naona page ina crash
Naomba msaada kwa mtu mwenye namna nzuri ya kuwasiliana na TCRA ili wanifungulie simu yangu au kama kuna mtu anaweza nishauri zaidi ya hapo nakaribisha asanteni.