Nimekwama wadau,kama kichwa cha jabari kinavyoeleza,lengo langu ni kuweka windows 11 version 23H2,nimefuata taratibu zote za jinsi ya kuinstall windows 11 kwenye laptop yangu ya Microsoft Surface lakini kila nikifika hatua ya mwisho inarudia window iliopo ambayo ni 11 version 24H2...