Msaada kuinstall custom ROM

Kama umeshaweka twrp na root maana yake bootloader tayari iko unlocked jambo la kuzingatia sasa ni kwamba rom utakayoflash iendane na simu yako pia ufanye backup kabla hujaflash simu na pia uwe na stock rom pembeni incase things go wrong.... pia hakikisha unatumia sd card maana internal storage itakuwa wiped ila sd card haiwezi kuwa wiped kwenye installation na itakusaidia ukikosea step kurudia zoezi zima...
 
Af sema mkuu ukisoma hiyo thread ya xda jamaa wanadai ina bugs nyingi sana, error zipo kibao yani.
 
Vipi kwa hizi rom za lineage kwani na zenyewe hua zina shida.....!?
 
Af sema mkuu ukisoma hiyo thread ya xda jamaa wanadai ina bugs nyingi sana, error zipo kibao yani.
Sio lazima uweke rom hio mkuu, kwanza miui nzito kwa Simu ya sd 800 huko itasumbua. Tafuta rom ambayo ipo close na stock
 
Mimi nikusumbue tu andika jina sahihi la simu yako (model ) afu unataka kuweka nini
Unahisi baada ya kuweka hicho kitu kitasaidia mini kwenye simu yako........

Kama utaona usumbufu kutaja sababu
Basi taja model na hii tutakusaidia lakini utahusika na uhusika wote ikiwa kuna shida itajitokeza
 
Nahitaji kutoka kwenye hii android 6 nisogee mbele, na huku nikiwa na uwezo wa ku customize vile napenda mimi, device info ni kama kwenye screeshot hapo chini.
 
Simu ni Sony xperia z3 compact D5803 Docomo
 
Afu pia wakuu hii simu ina xposed installer na framework yake fresh tu. Nliweka kupitia TWRP.
 
Sio lazima uweke rom hio mkuu, kwanza miui nzito kwa Simu ya sd 800 huko itasumbua. Tafuta rom ambayo ipo close na stock
Mkuu af pale kwenye website ya lineage naona wana recovery yao, vp kwani ni lazima uitumie ile yao kati tayari kuna nyengine.
 
Mkuu af pale kwenye website ya lineage naona wana recovery yao, vp kwani ni lazima uitumie ile yao kati tayari kuna nyengine.
Mkuu usijichanganye ukaenda moja kwa moja site ya lineage kudownload vitu na kuflash.

Lineage Wana develop then developers wengine Wana optimize kwa ajili ya simu mbalimbali, unatakiwa ufuate maelezo ya developer husika ya namna ya kuweka hio lineage.
 
Ok shukrani mkuu, wawezanipa msaada plz ni wapi naeza anzia kufanikisha hili.
 
Ok shukrani mkuu, wawezanipa msaada plz ni wapi naeza anzia kufanikisha hili.
Mkuu Pitia tu jukwaa la simu yako xda utapata rom zote na maelekezo yote

Hapa unapata rom

Then unaangalia hizo thread ipi ina version ya docomo na locked bootloader

Angalia mwenyewe ila nimepitia rom mbili Tatu zote zinataka bootloader iwe unlocked, sijafahamu kama kuna eneo wamelist rom za simu ambayo bootloader ipo locked.
 
Ok thanks sana mkuu naona hiyo mx imenivutia sana, af pia ina support Locked bootloader ngoja kesho nitiflash then ntaleta mrejesho.
 
Mimi nina Sony Xperia Z5 SO-01H
Napenda niweke Custom Rom.

Nimecheki Unlocked bootloader ipo No.
Naomba muongozo wa kuRoot, kuweka Twrp pamoja
na kupata Custom Rom sahihi kwa simu hiyo.
 
Mimi nina Sony Xperia Z5 SO-01H
Napenda niweke Custom Rom.

Nimecheki Unlocked bootloader ipo No.
Naomba muongozo wa kuRoot, kuweka Twrp pamoja
na kupata Custom Rom sahihi kwa simu hiyo.
Kama huwezi ku unlock bootloader unless Kuna njia ya kubypass ila most of time hutaweza ku root na kuweka custom rom.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…