kwanini wasema ivo
Sent using
Jamii Forums mobile app
Kwanza kuna vigezo vya awali ili channel yako iwe monetized
1.watch HOURS-4000
2.SUBSCRIBERS-1000
Vyote hivyo utatakiwa uvipate within 12 months
Baada ya hapo utaweza kuapply for YPP
Ila haya yakuzingatia hapa chini ndipo ugumu ulipo
1.Maudhui yako yasifanane na mengine yoyote yale(hapa channel za udaku nyingi zinakosa sifa za kuapply for MONETIZATION)
2.Maudhui ambayo hayaelimishi chochote kile hayalipwi(Channels za muziki zote zinaangukia hapa hata kama utakuwa na COPYRIGHTS za kazi hiyo).....isipokuwa tu kama CHANNEL HIYO itakuwa iko chini ya VEVO hao ndio watakao kulipa
3.Youtube kwa kawaida wanachukua 2 weeks kuverify CHANNEL yako kuwa MONETIZED ila kuna CHANNEL nyingi zinazochua miaka kadhaa mpaka kukubalika kuwa MONETIZED
4.Nina uhakika wa 90% kuwa MILLARDAYO + CHANNEL ZA UDAKU +WASANII hawalipwi Direct na YOUTUBE.........isipokuwa fedha wazipatazo zinatokana na wao kuingia mikataba na makampuni mbalimbali ima kama SPONSER ama Kwa kuwawekea matangazo yao kwenye video zako(haya ni yale matangazo ambayo unayaweka wewe wakati wa kuedit video zako hayana option ya kuskip kama yale yawekwayo na YPP + GOOGLE ADS
5.Hata kama channel yako itakuwa accepted na YPP Hela ya youtube ni ndogo mno 1000views=1$.........hivyo itakubidi ima uwe unapromote bidhaa zako mwenyewe,ufanye AFFILIATE MARKETING ama utafute SPONSERS wa video zako
YAHITAJI MUDA KUBUILD BRAND YAKO YOUTUBE......