MSAADA kuhusu www.cas.ac.tz

Ndungu wana Jamvi naomba msaada nimejaribu kuingia kwenye hii link http://41.93.31.135:8080/health bila mafanikio, Please mwenye kuwa na maujuzi au kujua ni kinachoendelea atupe maujanja.
Asante sana
  • Mbona inafunguka vyema
  • Nimejaribu kwa Mozilla, Chrome na IE11
Jaribu ku_clear catch kwenye browser yako, Download na install | CCleaner | kisha fanyia clean up PC yako, Pia download na install | latest browser |

​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…