Habari wakuu,naomba kufahamu kama wise wana huduma ya M-PESA hapa Tanzania,pili kama hawana basi napenda kujua card gani inapokea haraka bila kuchelewa.
Nawasilisha wakuu.

Hawana mpesa ila kama unamtumia mtu wa kenya inaingia safaricom. Ukihamishia bank kama crdb kama ni week days ukihamisha leo saa za kaz za US, kesho saa 11 utaipokea.