wadau nimeshindwa kabisa kudownload whatsapp kwenye simu yangu. mwanzoni ilikuwepo mara wakaniambia kwamba imefikia ukomo. nilipojaribu kuiupdate kama walivyosema nikashindwa. mara nikajikuta nimekifuta kile kidude cha whatsapp. sasa kila nikijaribu kudownload nakwama maana hata password sikumbuki. MSAADA TAFADHALI WATAALAMU