Msaada kuhusu Western Union anayeijua vizuri

Msaada kuhusu Western Union anayeijua vizuri

Mr Kazembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2019
Posts
392
Reaction score
528
Mimi ni Youtuber na adsense wanamfumo wa malipo kupitia western union wanahitaji majina tu ili watume pesa uwende ukachukue sasa...

Kitambulisho cha kura huwa jina la kati wanalikata

Mfano Aliyy Omary Hemed

Kwenye kitambulisho wataandika Aliyy O Hemedy

Nachotaka kujua je kitamburisho cha kura kinaruhusiwa

Nakama kinaruhusiwa unajazajee

Hapa

Screenshot (142).png
Screenshot (141)_LI.jpg
 
Mkuu nipe elimu ya kupata pesa kupitia Google Adsense.

Kuhusu kitambulisho cha kura kinakubalika mkuu cha msingi weka majina yako yote matatu but kinachoangaliwa sana ni jina la kwanza na la mwisho.

Angalizo: ukitumiwa pesa kupitia WU usithubutu kuchukulia benki ya posta. qaswida mix,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andika majina yako kama yanavyosomeka kwenye kitambulisho chako cha kupigia kura, kama jina la kati limeandikwa kwa kifupi na wewe andika hivyo hivyo ili kuepuka usumbufu wakati wa kwenda kutoa pesa kwa mawakala wa WU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
First name andika alliy o

Second name andika hamed

Kwenyenye AdSense full name itakuwa alliy o hamed, kupitia kitambulisho chako utatoa pesa westen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unatumia majina mawili tu la kwanza na la ukoo tu inatosha. hilo la kati kati halina maana
 
Mkuu nipe elimu ya kupata pesa kupitia Google Adsense.

Kuhusu kitambulisho cha kura kinakubalika mkuu cha msingi weka majina yako yote matatu but kinachoangaliwa sana ni jina la kwanza na la mwisho.

Angalizo: ukitumiwa pesa kupitia WU usithubutu kuchukulia benki ya posta. qaswida mix,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tujuze kuna nini TPB maama wao ndio wanaofisi nyingi zenye WU nisine ingia mkenge
 
Pamoja ma majina anayekutumia hela atakutumia namba wao wanaiita Code na utaijaza kwenye hiyo form ya kuchukulia pamoja na majina yako. Na pia kuna sehemu unajaza kiasi unachotegemea kupata ingawa hii sio lazima.
 
Tumia jina unalotumia katika vitambulisho vyako,pia majina uliojaza details zako wakati unacreate channel.
1 lazima mtu yeyeto mwenye channel YouTube hatakama haipublish maudhui ya habari ni lazima ukasajili tcra ulipie?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom